Wednesday, March 30, 2011

FM ACADEMIA 'WAZEE WA NGWASUMA' WEEKEND HII...


Hapa kulia nikiwa na Rais wa Bendi ya FM ACADEMIA aka 'wazee wa ngwasuma' NYOSH EL SAADAT aka 'sauti ya Simba', na kushoto ni mongwe wa Bendi hiyo BLAISE KING 'tumupokee mufalme'...

Huyu ndie rapa namba moja wa Fm academia KALIDJO KITOKOLOLO aka 'kuku', akighani kwa ustadi mkubwa na ama kwa hakika FM 'imedhihirisha' juzi usiku kwamba bado ni Bendi kigogo nchini, walimwaga 'MASEBENE' ya hatwaariii...

Wanenguaji wa kike nao walifanya 'Balaa' na style yao ya UTAMU WA VANILLA...

No comments:

Website counter