Thursday, March 17, 2011

UMBEA WA KITAA...


Mwanamuziki mwenye sauti tamu kutoka Uganda ambaye kwangu mimi naona ndie ni Bora kuliko wanamuziki wooote wa kike nchini humo JULIANA KANYOMOZI imeripotiwa kwamba anatarajiwa kuitwa tena 'MAZA' soon baada ya kunasa ujauzito ambao unakadiriwa kuwa ni wamiezi 3 mpaka sasa! Tayari mwanamuziki huyo anae mtoto mtoto wa miaka 6 aitwae KERON, na ukitaka kumjua zaidi 'Mdada' huyu basi burudika na wimbo wake apo chini ambao amemshirikisha mwanamuziki KIDUM kutoka Kenya, n i balaaaa...

No comments:

Website counter