Sunday, March 20, 2011

ILI KUONDOA 'MIKOSI', WENGER NAE AENDA LOLIONDO KWA 'BABU' DUUH...


Hatimaye Kocha wa ARSENAL ya England Mh. ARSENE WENGER nae ameamua kuja kwa 'BABU' kule 'LOLIONDO' ili kuondoa mikosi ya Timu yake kutochukua Vikonde kwa miaka kadhaa sasa, am kweli Babu kiboko daaah...

No comments:

Website counter