Sunday, March 20, 2011

HATIMAYE BALOTELLI AFUKUZWA MAN CITY...


Kocha wa Timu ya Manchester City ROBERTO MANCINI amesema amechoka na 'vituko' vya mshambuliaji wake mwenye kipaji MARIO BALOTELLI na kumtaka aondoke kwenye Club hiyo. Mancini amesema anaheshimu kipaji cha Balotelli ila hakiendani na tabia yake mbovu na ya 'UTUKUTU' aliyonayo, kwaiyo endapo itatokea 'Ofa' nzuri sehemu hatasita kumuuza ila kuepusha 'BALAA' na mgawanyiko wa makundi ya wachezaji ndani ya Club hiyo! Tayari Balotelli ameshapigwa faini ya kiasi cha Paund 300,000 kwa kosa la kupewa Red card ya 'KIBWEGE' majuzi kwenye Match kati ya Man city na Dinamo Kiev ya Ukrain.

No comments:

Website counter