Thursday, March 24, 2011


Baada ya kupanga 'FOLENI' kwa muda wa siku mbili ndipo Waziri LUKUVI alipopata nafasi ya kumfikia BABU AMBI na kupata 'KIKOMBE' kama kawa sambamba na BINTI wa Baba wa Taifa Mwl JULIUS NYERERE aitwae ROSEMARY NYERERE aliye kushoto kwake, watu weeweeeeee... chezea BABU AMBI wewe wkt kwa Babu hataki kujua wewe ni nani na una cheo gani, ni 'FOLENI' tu kudaadekiii weeweeee!

No comments:

Website counter