Thursday, March 17, 2011

EXTRA BONGO 'WALIVYOKAMUA' JANA NDANI YA MANGO GARDEN KINONDONI...


Kiongozi na Rais wa Bendi ya EXTRA BONGO Bwana ALLY CHOKI kushoto akiwa na Rapa namba moja wa Bendi iyo aliyetokea TWANGA PEPETA kwa mgogoro mkubwa SAULO FERGASON jana usiku walivyofanya vutu vywa uhakika ndani ya Ukumbi wa Mango Garden Kinondoni...

Hawa ni wanenguaji wawili maarufu wa kiume ambao pia wametokea Bendi ya Twanga Pepeta na kuhamia Extra Bongo kwa mgogoro mkubwa, kushoto ni SUPER NYAMWELA na kulia ni SUPER K, ni watundu sana hawa jamaa kunako 'Stage'...

Huyu ni Raoa SAULO FERGASON ambaye kwasasa ndani ya Extra Bongo anatamba na rapu yake iitwayo 'VUVUZELA', na pia kumbuka huyu Dogo ndie mtunzi wa Rap ya 'SUGUA KISIGINO' ya Twanga Pepeta daah...

BOB KISA na ATHANAS wakifanya vitu vyao jana, hii bendi ina wanamuziki wenye vipaji sana, jaribu kuwatafuta ukawashuhudie mwenyewe utawakubali...

Hii ndio staili mpya ya Bendi hiyo iitwayo 'VUVUZELA', ni balaa nakwambia...

No comments:

Website counter