Monday, March 21, 2011

BAADA YA WANAMUZIKI WA FIVE STAR TAARAB KUFARIKI AJALINI MUDA HUU, MKONGWE HUYU BADO HAIJULIKANI KAMA NAE 'KAFA' AU BADO MZIMA...

2 comments:

Anonymous said...

Kinyaiya huyu mkongwe yuko zanzibar stars na hakuwepo kwenye safari hiyo maana kundi hilo halimhusu. Chunguza mjimba utabhainiii

Anonymous said...

Huyu mkongwe yupo ila ni majeruhi bado yupo hospital huko morogoro...na yeye pia alikuwepo safarini kama msanii mualikwa..hata Khadija kopa nae ameongea clouds fm kua na yeye alikua awepo kwenye hiyo safari ila alishindwa kutokana na majukumu mengine na bendi yake. Mungu awapumzishe marehemu wote mahali pema peponi. pole nyingi kwa wafiwa.

Website counter