Wednesday, February 16, 2011


Wadau kibaao tulikuwepo kwenye Semina hiyo ya KILI MUSIC AWARD iliyofanyika Kunduchi Beach Hotel, hapa kuanzia kushoto ni VJ PENNY kutoka Channel 10, mimi na SALAMA J...

Hapa nikiwa na Mdau mkubwa wa Muziki nchini kwenye Semina hiyo JIMMY MKATE, bilobaloba salasala rien...

Hatimaye Semina hiyo ya KILI iliishia kwa kuhitimisha na Burudani nziito sana ya Muziki na kwakweli watu waliserebuka sanaaaa....

No comments:

Website counter