Wednesday, February 16, 2011


Aaah kwenye masuala ya 'MSOSI' huwa sijivungi banaa...

Ni wakati wa kupata Msosi na wenzangu, kuanzia kushoto ni LUQMAN MALOTO wa Global publishers, DINNA MARIOS wa Clouds FM, na MBONI MASIMBA...

Baada ya 'LUNCH' tukapata picha ya pamoja, kuanzia kushoto ni MAIMARTHA JESSE, mimi, MBONI MASIMBA na DINNA MARIOS wa Clouds FM...

No comments:

Website counter