Saturday, February 12, 2011

UKISTAAJABU YA MUSSA...


Najua woote tuna imani zetu binafsi ila ukiuangalia vizuri huu mti ulivyoumbwa ndio 'UTAAMINI' kwamba Mungu yupo aisee daaah...

1 comment:

Anonymous said...

Sasa hiyo ndio nini Benn. Mbona kama hiyo picha ina udhalilishaji kijinsia, au macho yangu?

Website counter