Saturday, February 12, 2011

KWA TAARIFA YAKO NAKWAMBIA...


Huyo jamaa apo juu anaitwa CHARLIE ADAM, kiungo anayeichezea timu ya Blackpool inayoshiriki Ligi kuu ya England, na ndie mchezaji pekee mpaka sasa anayeongoza kwa kupewa 'Yellow card' nyingi kuliko mchezaji yeyote mpaka sasa katika Ligi hiyo, ameshaoneshwa kadi za njano mara 10 mpaka sasa na hapo Ligi haijaisha wee weee...

No comments:

Website counter