Wednesday, February 23, 2011

TWANGA PEPETA WALIVYOFANYA 'MAMBO' JUZI USIKU NDANI YA TCC CHANG'OMBE...


Pamoja na kuondokewa na baadhi ya wanamuziki, bado Bendi ya TWANGA PEPETA imeonyesha ukomavu mkubwa na kuziba mapengo yooote, Hii ilikuwa ni Jumapili usiku ndani ya Ukumbi wa TCC Changombe wanaonekana wanenguaji wa Bendi hiyo wakimwaga 'UNO' la Hatwarii wakiongozwa na LILIAN INTERNET mbele yao...

Rapa hodari wa Bendi hiyo MSAFIRI SIOF amerudi kwenye CHAT yake kwa nguvu ya ajabu na hivi sasa ana rap mpya inayotamba hapa mjini iitwayo 'KAMATA MWIZI MAN...

'SWAGGA' za wanenguaji wa Twanga juzi usiku zilikuwa ni balaaaa...

No comments:

Website counter