Wednesday, February 23, 2011


Huyu Dogo anaitwa VENAH, ni mwimbaji mpya chipukizi wa TWANGA PEPETA mwenye sauti tamu sanaa ambaye kwa kiasi kikubwa amefanikiwa kuziba Pengo la yule mshkaji KHALID 'CHOKORAA! Sasa kwa mbao hawaamini maneno yangu basi wakachec 'show' yoyote ya Twanga then mtanipa majibu weenyeeweeee...
Huyu anaitwa SHAKASHIA aka 'SHAKAZULU', Kwangu mimi bila Fitna wala unafki ndie mpiga SOLO 'nambari One' hapa nchini, na huwa anaisuuza sana Roho yangu kwa upigaji wake daaah...

Hapa nikiwa na Kaka yangu wa 'Hiyari' Patrol CHALLE MTAWALI aka 'Mzee wa magari' kwani utaalamu wake wa kuuza magari ya aina zooote Duniani ndio unampa cheo icho na kama huamini Tembelea show rooms zake za 'CM MOTORS' magari pale Kinondoni 'Biafra' na Morocco ndio utaamini, kuanzia 'FERRARI' mpaka 'LAMBOGHINI' utayakuta, ni hatwarii nakwambia...

No comments:

Website counter