Wednesday, February 23, 2011

HATIMAYE 'GATTUSO' AFUNGIWA...


Hatimaye kiungo mkongwe wa timu ya AC MILAN ya Italia Mh. GENARO GATTUSO amefungiwa kucheza mechi 4 na shirikisho la soka Ulaya UEFA kwa kosa la kumpiga kichwa Kocha msaidizi wa TOTTENHAM JOE JORDAN! kiungo huyu anayecheza kwa nguvu na ubabe amepewa adhabu iyo na yeye mwenye binafsi ametamka kwamba ameikubali na kuomba msamaha kwa yoote aliyoyafanya kwani alisema yametokana na kupandwa 'Hasira' kali baada ya refa kulikataa Goli lao la kusawazisha daah! Ila kwangu mimi huwa nikiiona AC MILAN basi namuwaza GATTUSO ili mradi nizione zile tabia zake coz kwangu mie ni Burudani nyingine atiii...

No comments:

Website counter