Wednesday, February 16, 2011

SIKU KILI MUSIC AWARD ILIPOANDAA SEMINA ELEKEZI NDANI YA KUNDUCHI BEACH HOTEL...


Juzi katika Hotel ya KUNDUCH BEACH kuliandaliwa Semina ya kuwakutanisha wadau wakubwa wa Muziki nchini ili kujadili na kuwapendekeza wasanii wanaostahili kuwania Tuzo za KILI MUSIC AWARD zilizoandaliwa kwa udhamini mkubwa wa Kampunia ya Bia nchin i kupitia Bia yake ya KILIMANJARO na tuzi hizo zinategemewa kufanyika tar 26 mwezi ujao hapa jijini Dar na mimi ni mmoja kati ya wadau hao muhimu wa muziki nchini niliyealikwa kwenye semina hiyo iliyomalizika juzi usiku kwenye Hotel hiyo! Hapa ni wakati nawasili katika Hotel hiyo ya kunduch Beach na waalikwa wenzangu...

Nikiwa na rafiki yangu MBONI MASIMBA tukisubiri 'kusign in'...

Yaap hapa semina inaendelea, nikiwa na rafiki yangu ADAMU GILLE na kushoto ni mdau FRANK MTAO...

No comments:

Website counter