
Huyu mzee ni mfanyabiashara wa Kifaransa aitwae BERNARD ARNAULT aliyezaliwa tar 5 march 1945, ndie mtu 'TAJIRI' kuliko wooote barani 'ULAYA' akiwa ni Mwenyekiti na mwanzilishi wa Kampuni za mitindo na Vipodozi ya LMVS ambao ndio wazalishaji wa mitindi na vipodozi vya FENDI, DIOR na LOUIS VUITTON apa Duniani. Ni tajiri namba 1 ULAYA lakini ni wa 7 Duniani akiwa namiliki utajiri wenye thamani ya Dolla 27.5 Billioni. Tajiri huyu pia ni mwandaa maarufu wa maonyesho ya mitindo ya mavazi sehemu mbalimbali Duniani, upo apooo ndugu...

 
No comments:
Post a Comment