Friday, February 25, 2011


Huyu anaitwa PULO, ndie shabiki namba moja wa Bendi ya AKUDO IMPACT! Huyu kijana ni mlemavu wa akili yaani ni 'Taahira' ila ana kichaa cha muziki na huwa Hakosekani kwenye onyesho lolote la Bendi iyo na hata Bendi ikienda nje ya nchi basi uongozi wa Bendi huwa nae unamkatia tiketi na kuandamana nae na hata wanamuziki wooote wa bendi iyo wanampenda sana na MARAZOTE huwa anakaaga mbele ya jukwaa na kucheza kuanzia wimbo wa kwanza mpaka wa mwisho na muziki kuisha, Duuh ANATISHAA...

Hapa akivua Flana tayari kuanza 'MAKAMUZI' kuanzia wimbo wa kwanza mpaka wa mwisho KUDAADEKIII...

Hawa ni wacheza shoo wapya wa Bendi hiyo ya AKUDO waliotambulishwa jana usiku...

No comments:

Website counter