Friday, February 25, 2011


Rais wa Bendi ya AKUDO ambayo kirefu chake ni A'THUMAN, KURWA na DOTO', ambayo ni majina ya watoto wa mmiliki wa Bendi iyo Mh. ATHUMANI KAPUYA!

BEN mambo? BEN- poa ila we 'MAPAFYEE' kwa kuipenda AKUDO nakuvulia 'Msuli' maana kofia nimeshaivua zamaaaniiii...

Huyu ni rapa mahiri wa Bendi hiyo aitwae CANAL TOP ambaye ndie mtunzi wa ule wimbo maarufu wa 'MAMA VANESSA, unaukumbuka? au unaitikia 2...

Showbizz ya hatwaariiiii stejini kaaah...

No comments:

Website counter