Saturday, February 26, 2011

AKUDO WALIVYOMWAGA 'RADHI' JANA NDANI YA MANGO GARDEN...


jana Bendi ya AKUDO IMPACT aka vijana wa masauti walifanya 'concert'' ya nguvu ndani ya Ukumbi wa Mango Garden Kinondoni na kwa hakika walionekana bado wamo na 'SHUGHULI' bado wanaiweza sanaa 2! Pichani kiongozi wa Bendi iyo CHRISTIAN BELLA akiimba na mmoja wa mashabiki wa Bendi iyo aitwae 'P' MZEE WA PAMBA...

Makamu wa Rais wa Bendi wa Bendi ya AKUDO aitwae TARSIS MASELLA aka 'JOTO', akiimba kwa hisia jana...

Huyu ni TOTOO ZE BINGWA ambaye kwangu mimi ndie RAPA bora nchini kutokana na kuwa wa kipekee kwenye ubunifu kwenye kucheza na kuwachezesha mashabiki, aagh anatisgaa sanaaaa...

No comments:

Website counter