Sunday, February 20, 2011


Naam hapa nikiwa na mcheza Movie HEMED SULEIMAN nje ya KINYAIYAZ PUB wakati wakisubiri kupata 'Lunch' kabla ya kuingia kushoot movie mpya kali itakayokuja hivi karibuni...

Oyoyoo oyoyoo, Rais wa 'Masharobaro' BOB JUNIOR naye yumo katika Movie hiyo ya Hatari itakayotoka hivi karibuni...

Mzee wa 'Mama Ntilie' JERRY WA RAYM'Z nae yumo kwenye Movie hiyo ya Balaaa...

No comments:

Website counter