Sunday, February 20, 2011


Jamani kuna Movie mpya ya inayomuhusisha muigizaji Hemed Suleiman JAQ WOLPER na Rais wa 'masharobaro' BOB JUNIOR ambayo baadhi ya vipande vimeshutiwa ndani ya Pub yangu ya KINYAIYA'Z PUB iliyoko Kinondoni nyuma ya Mango garden. Itakuwa Movie kali sana kwa muonekano maana waigizaji wameitendea haki kabsaaa, we subiri itoke ndio utaamini maneno yangu na hapo juu pichani wanaonekana Hemed na Bob Junior wakiwa 'On set' tayari kwa Shooting...

Camera 'inaroll' tayari kuanza kazi...

Twende kazi bila kusahau na 'Mabodigadi' pembeni haa ahaaaa...

No comments:

Website counter