Sunday, February 20, 2011

BOONGE LA 'MOVIE' LINAKUJAA SOON KUDAADEKIIII...


Hawa ndio waigizaji wa Movie hiyo mpya kali sanaa itakayokuja siku si nyingi na ambayo baadhi ya vipande vyake 'vimeshootiwa' ndani ya Pub yangu ya KINYAIYA'Z PU iliyoko Kinondoni nyuma ya Mango Garden na hapa ni wakati wa Lunch kabla ya kuanza Shooting! Kuanzia kushoto ni JERRRY WA RHYMZ, JAQ WOLPER, HEMED SULEIMAN na mie mwenyewe, Vipi mmenisahau jina nini aah naitwa BEN KINYAIYA banaa......

Pamoja na kuimba ule wimbo wa mama Ntilie na Ray C, basi jamaa pia anahusudu sana vyakula vya 'Mama Ntilie' kuliko chakula cha Bar! Ushahidi si huo jamanii 'Wali Ndondo' kwenye sahani...

JAQ WOLPER nae yupo kwenye Movie hiyo ya kukata na sime...

No comments:

Website counter