Sunday, February 27, 2011

JIACHIE NA BEN KINYAIYA....

Nikiwa na rafiki zangu ambao ni wacheza wa SIMBA na Timu ya TAIFA, kuanzia kushoto ni MUSA HASSAN 'MGOSI' na katikati ni MOHAMED BANKA...

Hapa nikiwa na Patrol CHALLE MTAWALI, ambaye ni mfanyabiashara maarufu wa Magari ya aina zote nchini...

'Mkono mmoja weka juu' CHEGGE na kulia ni 'MR BLUE'

'Kuku kapanda baskeli, na bata kavaa raizoni' MR NICE! Bado yupo na nilikuwa nae juzi...

No comments:

Website counter