Thursday, February 3, 2011

JIACHIE NA BEN KINYAIYA....


Hapa nikiwa na rafiki yangu UHURU SELEMAN 'Robinho', winga machachari wa Mabingwa wa Soka la Bongo wekundu wa msimbazi SIMBA ya jijini Dar...

Nikishow love na rafiki zangu, kushoto ni mchekeshaji maarufu nchini anayeiga sauti za Viongozi STEVE NYERERE na kulia ni Mbunge wa MVOMERO mkoani Morogoro Mh. AMOS MAKALLA ambaye pia ni Mhasibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa...

Nikiwa na swahiba wangu ambaye ni Golikipa namba 1 wa SIMBA na timu ya Taifa 'Taifa Starz' JUMA KASEJA JUMA...

Washkaji zangu watiifu, kushoto ni BIJOUX 'mamaa wa Norway' na kulia ni 'mtaalamu' HENRY NASSER wakipouzzzzz kwa raha zao banaa...

1 comment:

Anonymous said...

Hvi beni huyu kaka henry nassar huwa ni shoga maana simuelewagi? yule mwenzake bilali anajiita bi laila nasikia ndio mwenyekiti wa mashoga nchini tz. nipe jibu juu ya huyu

Website counter