Thursday, February 3, 2011

KWA TAARIFA YAKO NAKWAMBIA...


Mshambuliaji hatari wa kimataifa wa Trinidad and Tobacco KENWYNE JONES anayechezea timu ya Stoke City kwa sasa ndie mchezaji pekee mpaka sasa anayeongoza kwa kugongesha 'MWAMBA' golini kuliko mchezaji yoyote kwenye ligi ya England. Ameshagongesha mwamba kwenye goli la wapinzani mara 7 mpaka sasa ukizingatia Ligi bado haijaisha weeweee...

No comments:

Website counter