Saturday, February 5, 2011

HATIMAE WANA JANGWANI YANGA YAPATA KOCHA MKUU...


Huyu ni Raia wa UGANDA anaejulikana kwa jina la SAM TIMBE, ni kocha maarufu mkatika ukanda Huu wa Africa mashariki aliyewahi kufundisha timu kibao kama vile mabingwa wa Kenya SOFAPAKA na hata mabingwa wa zamani wa Rwanda ATRACO! leo hii ameteuliwa kuwa kocha mkuu wa timu ya YANGA ya jijini. Ila nauliza kwa Fitna za watu wa YANGA ataziweka? maana wako watu watampangia Timu na kumteulua makocha wasaidizi tena bila kumwambia na hata mishahara kuchelewa Vilevile kama walivyomfanya PAPIC, ngoja tuone sasa looh...

No comments:

Website counter