Saturday, February 26, 2011

JAMANI LEO NDIO JUMAMOSI, NJOONI MSHUHUDIE 'MAUWAJI' YETU NDANI YA UWANJA MPYA WA TAIFA...


Jamani haya ni mazoezi yetu ya mwisho ya Timu yetu ya BONGO MOVIES FC jana ili kujiandaa na Mpambano wa 'HAJA' na waimbaji wa BONGO FLAVA FC itakayopigwa ndani ya Uwanja mpya wa TAIFA jijini Dar leo JUMAMOSI kuanzia saa 9 jioni. Pichani nikiwa 'Straika' wangu RAY KIGOSI. chonde chonde jamani msikose kuja kutuangalia tukifanya mambo makubwa Uwanjani na kuwaonyesha watanzani kwamba ukiacha kazi zetu za Utangazaji na Fillamu basi pia kwenye FOOTBALL pia tumetimiaaa, na kiingilio ni 'BUKU' jamani na tena kwa Taarifa yako mgeni Rasmi leo ni ni Rais JAKAYA KIKWETE haa ahaaaa...

Baada ya 'TIZI' tulikaa kikao ili kupanga mikakati ya Ushindi...

Hapa CHECBODY kushoto na kulia ni HATMAN MBILINYI weeweeee, usikose leo Jumamosi Uwanja mpya wa TAIFA....

1 comment:

Anonymous said...

Beni mbona hujaposti matokeo ya mechi hiyo au kwa vile mlishindwaaaaaaa? Hahaaaaaaaaaa!

Website counter