Sunday, February 6, 2011

HUYU NI MWANAMKE WA CHUMA...

Huyu ndie Dada RAHMA EL KHAROOS, Rais wa kampuni ya RBP OIL inayojishughilisha na uuzaji mafuta nchini ambaye pia ni Mkereketwa mkubwa wa Michezo nchini. Ndie mfadhili na mlezi wa timu ya Taifa ya wanawake nchini 'TWIGA STAR', pia mi mwanamke anayejitolea kusaidia Jamii bila kubagua kuanzia watoto yatima kudhamini shughuli mbalimbali na hata kuinua mchezo aupendao wa SOKA na juzijuzi aliileta timu ya ATLETICO PRUNNAISE kutoka BRAZIL kucheza na timu za SIMBA na YANGA pamoja na kuizindua timu ya AFRICAN LION inayoshiriki ligi kuu Tanzania bara ambayo AMEINUNUA rasmi na kuimiliki, Hongera dada RAHMA kwakua mwanamke wa CHUMA....

Kulia ni mimi wakati tulipokutana kwenye mechi ya timu ya SIMBA na ATLETICO PRUNNAISE ya Beazil ndani ya uwanja wa Taifa jijini Dar...

3 comments:

Anonymous said...

Mbona hutuhabarishi kwamba pia ni mke mwenza wa fast lady wa sasaa

Ibrah Rahby said...

Na pesa katoa wapi?sisi tunaoishi oman tunamjua vizuri katoka hapa hana kitu,hata ndugu zake hapa wakawaida tu ,kwanini wabongo hawahoji pesa katoa wapi za kuchezea hivyo? wabongo wa kawaida mlo wa mchana kitendawili

Website counter