Sunday, February 6, 2011


Apa pichani inaonyesha Dada RAHMA EL KHAROOS akiwa na viongozi wa timu ya ATLETICO PRUNNAISE ya kule BRAZIL siku ilipocheza na SIMBA. kulia ni mwanae wa kwanza wa kiume aitwae NABIL ambaye ni Rais wa club ya AFRICAN LION inashiriki ligi kuu Tanzania bara nchini.

Hapa akichanganyika na wachezaji wa Timu za SIMBA na ATLETICO PRUNNAISE ya Brazil aliyoileta nchini ili kuonesha ishara ya umoja...

Pia mama huyu mpenda michezo ana vituo kadhaa vya watoto Yatima anavyovisaidia kwa hali na mali, na kwa 'Hilo' anahitaji Pongeza za dhati kwa moyo wake wa kujitolea kusaidia jamii mbalimbali zenye Shida...

No comments:

Website counter