Monday, February 28, 2011


Hapa ni baada ya mpira kuisha nikitoka nje ya Uwanja wa Taifa na mshkaji wangu CHIKOKA...

Pamoja na kufungwa ila niliwasumbua sanaaa UWANJANI, waulize wenyewe watakwambia...

JOTI nae alijitahidi kwakweli...

Kwenye wimbo wa Taifa 'Mgosi' MASANJA nae alikuwepo na 'MIGULUBAJA' yake loooh...

2 comments:

Anonymous said...

Hahaha, mbona hujasema na mwiisho wa mpira mlikung"utwa ngapi? Hahah mungu awabariki sana kwa kuwasaidia wana gongo la mboto

Anonymous said...

Mi naona wanakuonea kabisaaa,hawa wanaosema unajichubua mtu anayejichubua anajulikana, mbona hapo umevua shati , kifua cheupeeee, tena rangi moja. Usiwasikilize wenye wivu wana yao

Website counter