Monday, February 28, 2011


Benchi la ufundi la BONGO MOVIE FC liliundwana watu mbalimbali kama DOKII, STEVE NYERERE, HATMAN, ABIOLA na wengineo...

Kikosi cha 'MAUWAJI' cha BONGO MOVIE FC kiliwajumuisha watu wengi, kuanzia kushoto ni MTITU, RAY, JOTI, JB, MASANJA na wengineo...

Tukisalimiana na wageni Rasmi...

Ilikuwa ni mechi ya 'KINDUGU' zaidi na lengo ni kuwasaidia wenzutu walipata madhara ya milipuko ya mabomu kule Gongo la Mboto na kama unavyoona mara baada ya mechi kuisha tulijumuika pamoja...

No comments:

Website counter