Saturday, February 26, 2011

ACHA 'MAMA' AITWE 'MAMA' BANAA...


Ama kweli 'MAMA NI MAMA' na tuwape HESHMA ZAO kwakweli, ebu we chec iyo picha MAMA amejikondeaa weee, ila ivyo 'vitoto' vimenenepa kishenzi kwa kumnyonya Mama yao daah! Sasa natoa OFA kwenu wadau wa Blog hii ya KINYAIYA, ni nani anataka nimgawie ivyo 'vipapi' maana vipo kama sita ivi...

2 comments:

Anonymous said...

Beny naomba kipapi kimoja mie ni mpenzi sana wa blog yako, yaani siwezi kufunga ofisi bila kuingia kwenye blog yako na maggid mjenga.

Mie Pellagia, nielekeze hapa hapa globuni kama utanikubalia.

Thanks in advance.

Anonymous said...

HE HE HE HE HE KAZI UNAYO MWAKA HUU.

Website counter