Friday, January 28, 2011

WEWEE CHANGAMKIA 'MAVITUZZZ' HAYO ALAAAAH...


Hallow wananchi kuna izo MACHINE apo juu na chini kuna jamaa yangu anaziuza kwa bei nzuri saanaaa na ni mpya kabsaaa tena kwenye maboksi yake, iyo ya hapo juu ni aina ya TOSHIBA na iko BOMBA kishenziii u can believe! Na iyo apo Down ni aina ya 4115EC. ni kali sana na ya kisasa! Kwa anayetaka kuzichec 'Physically' we Twanga bureee kwenye namba 0756 162161 au 0762 854444, nakwambia hutajutia...

1 comment:

Anonymous said...

JE WAZIUZAJE MASHINE HIZO? WASEMA UTAZIJUTIA BILA KUJUA BEI INAKUWAJE TENA.

Website counter