Saturday, January 29, 2011


Nikiwa na Swahiba wangu MAIMARTHA tukimuaga mwana Bongo Flava LINA ambae tulikuwa nae kwenye kipindi chetu cha 'BEN & MAI LIVE' wiki iliyopita...

Hata mimi 'SWAGGA' naziweza atiii...

Na hapa nikiwa na LINA mara baada ya kumaliza kipindi, ilikuwa HATWAARIII nakwambia...

1 comment:

Anonymous said...

Ben uwe unatuwekea na video basi,wenzio hatuwezi kuona hatupo mjini hapo.
chondechonde

Website counter