Friday, January 28, 2011

AMA KWELI MTOTO UMLEAVYO NDIO AKUAVYO...


Nakwambieni wazazi wooote, ukiona mwanao anaaza kuiga tabia anazoona kwenye 'VIDEO' jaribu kumkanya mapemaa kabla hajawa 'NUNDA' maana ipo siku akiifuma Bastola ndani mwako atakuja kuijaribia kwenye kichwa chako kama anavyomwonaga 'COMMANDO JOHN' kwenye video...

No comments:

Website counter