Friday, January 7, 2011

WAUNGWANA MWENZENU NIMEZALIWA LEO...


Jamani ijumaa ya leo ni 'BIRTHDAY' yangu, na wala usibabaike na iyo sura, mwenzenu nimekwenda 'AGE' sasaivi sio maskhara oohooo! Nashukuru kuuona tena mwaka, tutakiane maisha marefu zaidi na 'NINAWAPENDA' enyi wooote mnaonipenda...

8 comments:

Anonymous said...

ndo mana eti!!!!!!

Anonymous said...

HONGERA MKUU BE BLESSED

Anonymous said...

happy b.day ben.may God bless u

Anonymous said...

Happy belated birthday Ben.bless u.

Anonymous said...

Hapo ni Guest gani?

Anonymous said...

Hapo ni kwako au? Panafanania na guest vile

Anonymous said...

uko soft kademu au?

Anonymous said...

ndio kisa umezaliwa basi ukaamkia gesti? ulikuwa na demu gani?
hicho kitanda cha gesti kabisaa best usibishe

Website counter