Wednesday, January 26, 2011

UZINDUZI WA TUZO ZA KILI ULIVYOKUWA NDANI YA HOTEL YA DOUB LE TREE JUZI USIKU...


Hili ndo Bango lenyewe la kuashiria uzinduzi rasmi wa tuzo izo za KILI MUSIC AWARDS ambazo zitafanyika mwezi march mwaka huu, hakika ulikuwa ni uzinduzi uliofana saanaa na watu walikula na kunywa mpaka kucheee...

Kwa upande wa burudani, wasanii wengi waliburudisha kwa live Band na hawa ni wachache kati yao niliowaweka apa Bloguni, na pichani juu ni msanii MARLAW akiwachengua waalikwa kwa staili yake ya 'Kiduku'...

ALLY KIBA nae hakuwa nyuma kwenye maswala ya kupagawisha watu jukwaani kwa live Band, ilikuwa HATWAARIIII nakwambia...

No comments:

Website counter