Wednesday, January 26, 2011


Mkurugenzi wa bendi ya Twanga Pepeta mamaa ASHA BARAKA nae alikuwepo juzi kwenye uzinduzi wa tuzo izo za KILI MUSIC AWARDS...

'Watotoz' kibao walikuwepo 'kunogesha' Shughuli...

Kuanzia kulia ni WAKUVANGA wa Ze comedy, Mimi, mcheza filamu LULU na shoga yake...

Kikosi kizima cha watoto wa mujini kutoka clouds Fm, kuanzia kushoto ni GADNER G HABASH, B12, ADAMU MCHOMVU na BEN KINYAIYA wa TBC1 kama kawazzz...

No comments:

Website counter