Saturday, January 29, 2011

'BEN NA MAI LIVE' ILIVTOKUWA WIKI ILIYOPITA PALE TBC1.


Wiki iliyopita kwenye kipindi chetu cha BEN & MAI pale TBC..... tulikuwa na wageni wengi na mmoja wao ni huyu Malkia wa Mipasho nchini Bi. KHADIJA OMARY KOPA! Huyu mama ni mheshimiwa mjumbe wa NEC ya CCM na kwa hakika ni m2 mchangamfu sanaaa na alichangamsha Kipindi kwa kweli...

Mgeni wetu mwingine alikuwa MOHAMED MWAMEJA aka 'TANZANIA ONE'! Huyu ni mmoja kati ya makipa Hodari kabisaa kuwahi kutokea nchini aliyezichezea timu za COSTAL UNION ya Tanga na SIMBA ya jijini Dar, Wengi waliuliza huyu bwana yuko wapi ndipo nikaamua kumsaka na kumleta kwenye kipindi changu...

No comments:

Website counter