Sunday, January 2, 2011

NET INASUMBUA JAMA...

Jamani wapenzi wa Blog hii ya KINYAIYA msione kimya, hii mitandao yetu ya kibongo ovyo sana yaani tangu jana NET inasumbua sana mpaka nashindwa kuweka mavituzz ya matukio ya nguvu niliyonayo kibindoni ila msijali niko mbioni kuweka mambo sawa ili niwawekee matukio na vijimambo vya mjini vilivyojiri apa Bongo Daresalaaam...

1 comment:

Anonymous said...

Tumia Z-connect ya Zantel

Website counter