Jamani wapenzi wa Blog hii ya KINYAIYA, nimechelewa kidogo kupost haya matukio kutokana na mtandao ninaotumia wa kampuni flani jina 'nawahifadhi' kuwa SLOW kupita maelezo but ingawa ni viporo kiaina lakini mtaenjoy wenyewe! Naanza na tukio la kipindi changu cha 'BEN&MAI live' kilivyokuwa siku ya X-mas, yaani niliondoka kwa mwendo wa 'FATHER X-MAS' bana, yaani ilikuwa Hatwaariii saanaaa nakwambia na hapa nikiwa Mtamboni na Dada yangu wa Ukweli MAIMARTHA tukianza kipindi LIVEEE...
Hapa ilikuwa ni SWAGGA ya kufa m2 katika hali ya kumwaga MAUNO wa wanamuziki wa TWANGA PEPETA wakiongozwa na LUIZA MBUTU waliotutembelea Studio live...
1 comment:
Saaafi, sasa uwe unatuwekea video tuonjeshe kidogo tuliombali kipindi chenu kinafananaje
Post a Comment