Friday, December 31, 2010

HAPPY NEW YEAR WANA BLOG HII YA KINYAIYA'S...

Leo usiku ni mkesha wa mwaka mpyan nawatakia mwanzo mzuri wa mwaka na muwe makini kuanza mwaka kwa kuendesha magari yenu vizuri, kujituma kwenye kazi zenu, kujiepusha na magonjwa na uhalifu, na pia ninawapa fursa ya kutuma 'SALAMU' zenu za mwaka mpya kwa kuambanisha na picha zenu kisha waweza nitumia kwa email yangu ya bennytanzania@yahoo.com Na mie nitawaziwakilisha kwenye Blog yako hii ya KINYAIYA'S BLOG na salamu zako zitawafikia walengwa, HAPPY NEW YEAR 2011.

No comments:

Website counter