Tuesday, January 4, 2011


Nami sikujivunga kwenda kuwaona MAPACHA na hapa nikiwa na 'USHER RAYMOND' wa Daslaam, looh mji una vituko huu daah...

Hawa wadada ni miongoni mwa wanenguaji wa kike wakali zaidi kwa wakongwe walioko sasa, kushoto ni MARIAM ZIDANE ambye kwa wale wapenzi wa DIAMOND SOUND enzi hizo watakuwa wanamkumbuka, na huyu kulia ni MARIAM BERCI ambaye kwangu mimi hakuna mnenguaji mwenye 'Kiuno lainii bila mfupi' na asiye jichubua vilevile kama huyu katika Bendi zoote za hapa Town na kama huamini basi we siku hudhuria Onesho la hawa mapacha alafu mchungulie ndio utajua nina maana gani, maana mie simsifiagi m2 bure bwana alaaah...

STEVE NYERERE nae alikuwepo banaa...

Wananguaji wakiwa mzigon...

1 comment:

Anonymous said...

msalimie USHER RAYMOND wa bongo hako nako ni ka hundsome ka ukweli hebu kapigie debe wafadhili wajitokeze yaani muuzishie sura

Website counter