Sunday, January 16, 2011

MJOMBA BAND ILIPOZINDUA KIWANJA CHAKE KIPYA JUZI USIKU...


MRISHO MPOTO ni mmoja kati ya wanamuziki nguzi hasa kwa Falsafa yake ya kuimba kwa kutumia simulizi za 'kifasihi' zenye ujumbe mkali! Ameshatamba sana na nyimbo zake nyingi ambazo naamini wengi wenu wapenzi wa muziki mnazijua! Sasa juzi aliamua kuzindua kiwanja chake kipya mbacho atakuwa napiga kila Alhamic usiku pale 'MZALENDO PUB' Kijitonyama Millenum tower na alitualika wadau wengi ili tukashuhudie na kusikiliza Muziki wa bendi yake! Kwakweli anajitahidi sana na nadhani siku zinavyokwenda Bendi yake itazidi kuimarika zaidi, tumpe sapoti jamani kwa kwenda kuangalia maonesho yake naamini mtakubali vitu vyake...

Pale 'Front line' yupo na Kijana ISMAIL na kwakweli wanakamua sana, BIG UP MJOMBA....

Wadau wengi tulikuwepo kwa mwaliko wake, kuanzia kushoto ni meneja SAGALLA, mimi, MJOMBA, mcheza Filamu RAY KIGOSI,CHIKOKA na mwigizaji RICHIE RICHIE...

Mwanamuziki 'Q CHILLA' nae alikuwepo kushuhudia mavituzzz ya MJOMBA BAND juzi usiku...

No comments:

Website counter