Sunday, January 16, 2011

KWA TAARIFA YAKO NAKWAMBIA...


Ni kwamba winga wa Man Utd 'LUIS NANI' ambaye jina lake halisi ni LUIS CARLOS ALMEIDA DA CUNHA, sasaivi ndiye mchezaji anayeongoza kwa kutoa Pasi nyingi zilizozaa mabao kwenye ligi kuu ya England. Mpaka sasa ametoa pasi 12 za mabao!

No comments:

Website counter