Friday, January 14, 2011

LIANGALIE ZEE ZIMAA 'FATAKI'...


Mizee kama hii yenye tabia za 'UFATAKI' imejaa sana hasahsa maeneo ya vijijini, yoote iyo ni Kasumba tu ya baadhi ya wazazi wa mabinti kupenda mali, yaani akitokea Jibabu likatoa Ng'ombe 2 na mbuzi 1 baaasii binti lazma alazimishwe kuolewa! Sasa ebu lichec ilo ZEE linavyokaba mpaka 'Penalti' na alafu eti kwa 'Mkwara' kashika Nyundo ili ukimletea 'Mizinguo' akupasue ya kichwa loooh...

2 comments:

Mwijage said...

MI nilishani fataki lazima awe na mwili nyumba! yaani mnene!

Mwijage said...

MI nilishani fataki lazima awe na mwili nyumba! yaani mnene!

Website counter