Friday, January 14, 2011

KAMA ULIKUWA HUJUI NI KWAMBA....


Huyu ni DARREN BENT, mshambuliaji hatari wa timu ya SUNDERLAND inayoshiriki ligi kuu ya England ila kama ulikuwa hujui ni kwamba mshambuliaji huyu ndie anayeongoza kwa 'KUOTEA' sana au kwa kithungu tunaita Offside kuliko mshambuliaji yeyote wa Ligi iyo! Mpaka sasa ana 'Offside' 35 na hapo ligi bado haijaisha daaah...

No comments:

Website counter