Wednesday, January 26, 2011

KWA TAARIFA YAKO NAKWAMBIA...


Ni kwamba winga hatari wa REAL MADRID ya Spain bwana CHRISTIANO RONALDO, ndie mchezaji anayeongoza kwa kupiga mashuti mengi langoni kuliko mchezaji yoyote kwenye ligi ya Spain mpaka sasa! Amepiga mashuti 139 na kutumbukiza wavuni mbao 22 mpaka sasa kudaadekiii, AMETISHAAA....

No comments:

Website counter