Wednesday, January 26, 2011

EBU NIJIBUNI KWANZA...


Ivi kwa mfano ile umerudi kutoka Job umechoookaa kishenzi alafu ile kufungua mlango wa chumbani kwako 2 unakuta kiumbe kama icho kipo kitandani mwako kinakuangalia ivyo daaah! Sema ukweli utachukua hatua gani kwa muda huo....

2 comments:

Majoy said...

Hahhahaaaa Ben hapo ni nduki sana hakuna kuangalia nyuma lol!

Anonymous said...

KWA KWELI TUSIDANG'ANYANE.HUYO MTU MBWA AMEONEKANA WAPI? KAMASIO PICHA YA MTU NAKUWEKA KICHWA CHA MBWA? KAMA IKINITOKEA NITAMKEMEA KWA JINA LA YESU NA KUFUNGA MLANGO NA KUONDOKA KUITA VYOMBO VYA USALAMA VIMSHUGHULIKIE.

Website counter