Sunday, January 16, 2011

NAOMBENI USHAURI JAMA...


Ivi jamani mbona kuna viumbe wengine wanapenda kuharibu 'SHUGHULI' za watu! Sasa naomba mnichagulie adhabu ya kumpa uyu Inzi bwege apo juu...

8 comments:

Anonymous said...

MPE AINYWE MPAKA AIMALIZE!NINA HAKIKA HATARUDIA TENA.

Anonymous said...

Huyo dawa yake kama aliingia kunywa juisi yako, mchukue umuweke mdomoni, umnyonye hiyo juisi yote aliyokudoea, halafu umteme kwenye toileti, umflashi na maji! MBONA ATAJIJJUU KUHARIBU SHUGHULI ZA WATU!

Anonymous said...

mkamue mavi ,mtupe endelea kunya juice yako

Anonymous said...

mkamue mavi ,mtupe endelea kunya juice yako

Mwijage said...

Huyo Inzi hana makosa kwa kuwa hajaingia kwenye juice yenyewe. we badilisha huo mrija afu uendelee kupata juice bana!

Mwijage said...

Huyo Inzi hana makosa kwa kuwa hajaingia kwenye juice yenyewe. we badilisha huo mrija afu uendelee kupata juice bana!

Anonymous said...

bwana tuwekee vitu vingine wki zima sasa upo tu na inzi lako kama umekosa vitu sema

Anonymous said...

pole sana kwa huyo mgeni,si makosa yake anatafuta vya bure je unataka ale wapi? mapipani?nae ataka visafi sio vya mapipani.waambie wenye biashara hiyo wazingatie usafi amasivyo lipa nusu ya bei yao inayobaki wamdai nzi mtaka vya bure.

Website counter